20 Ikiwa mtu atasema, "Nampenda Mungu," lakini anamchukia ndugu yake, yeye ni mwongo. Kwa maana kila mtu asiyempenda ndugu yake ambaye anamwona, atampendaje Mungu asiyemwona? 21 Naye ametupatia amri hii: Yeyote anayempenda Mungu lazima pia ampende ndugu yake.