Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Pedro 1

15 Bali kama yeye aliyewaita alivyo mtakatifu, nanyi kuweni watakatifu katika mwenendo wenu wote. 16 Kwa maana imeandikwa: "Kuweni watakatifu, kwa kuwa mimi ni mtakatifu."

Veja também