Kuvumilia mateso
13 Basi, ni nani atakayewadhuru mkiwa wenye juhudi katika kutenda mema? 14 Lakini hata ikiwalazimu kuteseka kwa ajili ya haki, mmebarikiwa. "Msiogope vitisho vyao, wala msiwe na wasiwasi."