Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Petro 3

18 Kwa kuwa Al-Masihi naye aliteswa mara moja tu kwa ajili ya dhambi, mwenye haki kwa ajili ya wasio haki, ili awalete ninyi kwa Mungu. Mwili wake ukauawa, lakini akafanywa hai katika Roho wa Mungu. 19 Baada ya kufanywa hai, alienda na kuzihubiria roho zilizokuwa kifungoni:

Veja também