Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Wafalme 19

5 Kisha akajinyoosha chini ya mti, akalala usingizi.

Mara malaika akamgusa na kumwambia, "Inuka ule." 6 Akatazama pande zote, na hapo karibu na kichwa chake palikuwa na mkate uliookwa kwenye makaa ya moto, na gudulia la maji. Akala na kunywa, kisha akajinyoosha tena.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também