Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Wafalme 2

19 Bathsheba alipoenda kwa Mfalme Sulemani kuzungumza naye kwa ajili ya Adoniya, mfalme alisimama kumlaki mama yake, akamwinamia na kuketi kwenye kiti chake cha ufalme. Akaamuru kiti cha ufalme kuletwa kwa ajili ya mama yake mfalme, naye akamketisha mkono wake wa kuume.

20 Bathsheba akamwambia mfalme, "Ninalo ombi moja dogo la kukuomba; usinikatalie."

Mfalme akajibu, "Omba, mama yangu; sitakukatalia."

Veja também