22 Lakini Samweli akajibu:
"Je, Mwenyezi Mungu anafurahia sadaka za kuteketezwa na dhabihu
kama vile kuitii sauti ya Mwenyezi Mungu?
Kutii ni bora kuliko dhabihu,
nako kusikia ni bora
kuliko mafuta ya kondoo dume.