11 Hivyo akamuuliza Yese, "Je, hawa ndio wana pekee ulio nao?"
Yese akajibu, "Bado yuko mdogo kuliko wote, lakini anachunga kondoo."
Samweli akasema, "Tuma aitwe; hatutaketi hadi afike."

11 1 Sam 17:12;2 Sam 7:8;Zab 78:70Kisha Samweli akamwambia Yese, Watoto wako wote wapo hapa? Naye akasema, Amesalia mdogo wao, na tazama, anawachunga kondoo. Basi Samweli akamwambia Yese, Tuma watu, wamlete; kwa sababu hatutaketi hadi atakapokuja huku.
11 Hivyo akamuuliza Yese, "Je, hawa ndio wana pekee ulio nao?"
Yese akajibu, "Bado yuko mdogo kuliko wote, lakini anachunga kondoo."
Samweli akasema, "Tuma aitwe; hatutaketi mpaka afike."
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.