16 Basi Yonathani akafanya agano na nyumba ya Daudi, akisema: "Mwenyezi Mungu na awaangamize adui za Daudi." 17 Naye Yonathani akamtaka Daudi athibitishe tena kiapo chake cha kumpenda, kwa sababu Yonathani alimpenda Daudi kama nafsi yake mwenyewe.
Publicidade
1 Samweli 20
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.