Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Samweli 25:23,24

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

23 Abigaili alipomwona Daudi, akashuka haraka kwenye punda wake, akamsujudia Daudi. 24 Akamwangukia miguuni pake na kusema: "Bwana wangu, kosa hili na liwe juu yangu mwenyewe. Tafadhali mruhusu mtumishi wako aseme nawe. Sikia kile mtumishi wako atakachosema.

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    23 Yos 15:18;Amu 1:14Ndipo hapo Abigaili alipomwona Daudi, alifanya haraka kushuka juu ya punda wake, akamwangukia Daudi kifudifudi, akainama mpaka chini. 24 Akamwangukia miguuni pake, akasema, Juu yangu, bwana wangu, juu yangu mimi na uwe uovu; tafadhali mjakazi wako na anene masikioni mwako, nawe uyasikilize maneno ya mjakazi wako.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    23 Abigaili alipomwona Daudi, akashuka haraka kwenye punda wake, akainama kifudifudi uso wake mpaka nchi mbele ya Daudi. 24 Akamwangukia miguuni pake na kusema: "Bwana wangu, kosa hili na liwe juu yangu mwenyewe. Tafadhali mruhusu mtumishi wako aseme nawe. Sikia kile mtumishi wako atakachosema.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.