Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Timotheo 5

Wazee wa kundi la waumini

17 Wazee wa kundi la waumini wanaoongoza shughuli za kundi hilo vizuri wanastahili heshima mara mbili, hasa wale ambao kazi yao ni kuhubiri na kufundisha. 18 Kwa maana Maandiko husema, "Usimfunge maksai kinywa apurapo nafaka," tena, "Mfanyakazi anastahili mshahara wake."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também