10 Mkimsamehe mtu yeyote, mimi pia nimemsamehe. Kile nilichosamehe, kama kulikuwa na kitu chochote cha kusamehe, nimekwisha kusamehe mbele ya Al-Masihi kwa ajili yenu, 11 ili Shetani asitushinde. Kwa maana hatujakosa kuzijua hila zake.
Publicidade
Publicidade