Unabii wa Maandiko
12 Hivyo nitawakumbusha mambo haya siku zote, hata ingawa mnayajua na mmethibitishwa katika kweli mliyo nayo. 13 Naona ni vyema kuwakumbusha mambo haya wakati wote niko katika hema hili ambalo ni mwili wangu,

12 Yud 1:5Kwa hiyo nitakuwa tayari kuwakumbusha hayo siku zote, ijapokuwa mnayajua na kuthibitishwa katika kweli mliyo nayo. 13 2 Kor 5:1Nami naona ni haki, maadamu nipo mimi katika maskani1:13 katika Kigiriki ni ‘hema’. hii, kuwaamsha kwa kuwakumbusha.
12 Hivyo nitawakumbusha mambo haya siku zote, hata ingawa mnayajua na mmethibitishwa katika kweli mliyo nayo. 13 Naona ni vyema kuwakumbusha mambo haya wakati wote niwapo katika hema hili ambalo ni mwili wangu,
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.