2 Hezekia akaelekeza uso wake ukutani, akamwomba Mwenyezi Mungu: 3 "Ee Mwenyezi Mungu, kumbuka jinsi nilivyoenenda mbele zako kwa uaminifu na kujitoa kwa moyo wangu wote, na kufanya yaliyo mema machoni pako." Naye Hezekia akalia kwa uchungu.
Publicidade
2 Wafalme 20
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.