21 Mfalme Daudi aliposikia mambo haya yote, akakasirika sana. 22 Absalomu hakusema neno lolote, zuri au baya, kwa Amnoni; alimchukia Amnoni kwa sababu alikuwa amemtia aibu Tamari, dada yake.