Pular para o conteúdo
Publicidade

2 Samweli 22

5 Mawimbi ya mauti yalinizunguka,

mafuriko ya maangamizi yalinilemea.

6 Kamba za Kuzimu22:6 Kuzimu kwa Kiebrania ni Sheol, yaani Shimo lisilo na mwisho. zilinizunguka,

mitego ya mauti ilinikabili.

7 "Katika shida yangu nalimwita Mwenyezi Mungu,

nilimlilia Mungu wangu.

Kutoka Hekaluni mwake alisikia sauti yangu,

kilio changu kikafika masikioni mwake.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também