Pular para o conteúdo
Publicidade

2 Samweli 5

Daudi atawazwa mfalme wa Israeli

1 Makabila yote ya Israeli yakamjia Daudi huko Hebroni na kumwambia, "Sisi tu mwili wako na damu yako. 2 Zamani, wakati Sauli alikuwa mfalme juu yetu, wewe ndiwe uliyeiongoza Israeli vitani. Naye Mwenyezi Mungu alikuambia, Wewe utawachunga watu wangu Israeli, na utakuwa mtawala wao.’ "

3 Wazee wote wa Israeli wakamwendea Mfalme Daudi huko Hebroni, mfalme akafanya mapatano nao huko Hebroni mbele za Mwenyezi Mungu, nao wakampaka Daudi mafuta kuwa mfalme wa Israeli.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também