Pular para o conteúdo
Publicidade

2 Timotheo 2:17,18

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

17 Mafundisho yao yataenea kama kidonda kisichopona. Miongoni mwao wamo Himenayo na Fileto, 18 ambao wameiacha kweli, wakisema kwamba ufufuo wa wafu umekwisha kupita, nao hupindua imani ya baadhi ya watu.

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    17 1 Tim 1:20na neno lao litaenea kama donda ndugu. Miongoni mwa hao wamo Himenayo na Fileto, 18 waliopotoka kutoka kwenye kweli, wakisema ya kwamba kiyama imekwisha tokea, hata kuipindua imani ya watu kadhaa.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    17 Mafundisho yao yataenea kama kidonda kisichopona. Miongoni mwao wamo Himenayo na Fileto 18 ambao wameiacha kweli, wakisema kwamba ufufuo wa wafu umekwisha kuwako, nao huharibu imani ya baadhi ya watu.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

2 Timóteo
Ver todos os capítulos de 2 Timóteo