14 Amosi akamjibu Amazia, "Mimi sikuwa nabii wala mwana wa nabii, lakini nilikuwa mchungaji wa kondoo na mtunza mikuyu. 15 Lakini Mwenyezi Mungu akanitoa kutoka kuchunga kondoo na kuniambia, ‘Nenda, ukawatabirie watu wangu Israeli.’
Publicidade

+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.