Pular para o conteúdo
Publicidade

Apocalipse 1

17 Nilipomwona, nilianguka miguuni pake kama aliyekufa. Ndipo akauweka mkono wake wa kuume juu yangu na kusema: "Usiogope, Mimi ndiye wa Kwanza na wa Mwisho. 18 Mimi ni Yeye Aliye Hai, niliyekuwa nimekufa, na tazama, ni hai milele na milele! Nami ninazo funguo za mauti na Kuzimu1:18 Kuzimu kwa Kiyunani ni Hades, yaani mahali pa wafu..

Veja também