Pular para o conteúdo
Publicidade

Ufunuo 3

Kwa kundi la waumini lililoko Sardi

1 "Kwa malaika wa kundi la waumini lililoko Sardi, andika:

Haya ndio maneno ya aliye na zile Roho saba za Mungu3:1 Roho saba za Mwenyezi Mungu hapa inamaanisha Roho wa Mungu katika ukamilifu wa utendaji wake. na zile nyota saba.

Nayajua matendo yako, kwamba una sifa ya kuwa hai, lakini umekufa. 2 Amka! Nawe uyaimarishe yale yaliyosalia na yaliyo karibu kufa, kwa maana sikuona kwamba kazi zako zimekamilika machoni pa Mungu wangu.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também