13 Kisha nikasikia kila kiumbe mbinguni na duniani, chini ya nchi, na baharini, na vyote vilivyomo, vikiimba:
"Sifa na heshima na utukufu na uweza
ni vyake yeye aliyeketi juu ya hicho kiti cha enzi,
na kwa Mwana-Kondoo,
milele na milele!"