Pular para o conteúdo
Publicidade

Atos 1

13 Walipowasili mjini Yerusalemu, walienda ghorofani kwenye chumba walichokuwa wakiishi. Waliokuwepo walikuwa:

Petro, Yohana, Yakobo na Andrea;

Filipo na Tomaso;

Bartholomayo na Mathayo,

Yakobo mwana wa Alfayo, Simoni Zelote1:13 Wazelote walikuwa kikundi cha Kiyahudi wenye imani kali waliompinga Kaisari na utawala wa Rumi. na Yuda mwana wa Yakobo.

Veja também