Yakobo auawa, Petro atiwa gerezani
1 Wakati huo huo Mfalme Herode Agripa aliwakamata baadhi ya waumini wa Isa. 2 Akaamuru Yakobo, ndugu yake Yohana, auawe kwa upanga.
1 Wakati huo huo Mfalme Herode Agripa aliwakamata baadhi ya waumini wa Isa. 2 Akaamuru Yakobo, ndugu yake Yohana, auawe kwa upanga.
1 Mdo 4:3Karibu wakati ule ule, Herode mfalme akanyosha mikono yake kuwatenda mabaya baadhi ya watu wa kanisa. 2 Akamwua Yakobo, ndugu yake Yohana, kwa upanga.
1 Wakati huo huo Mfalme Herode Agripa aliwakamata baadhi ya watu wa kanisa. 2 Akaamuru Yakobo, ndugu yake Yohana, auawe kwa upanga.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.