Pular para o conteúdo
Publicidade

Matendo Ya Mitume 16

14 Mmoja wa wale wanawake waliotusikiliza aliitwa Lidia, mfanyabiashara wa nguo za zambarau, raia wa mji wa Thiatira, aliyekuwa mcha Mungu. Mwenyezi Mungu akaufungua moyo wake akaupokea ujumbe wa Paulo. 15 Basi alipokwisha kubatizwa yeye na watu wa nyumba yake, alitukaribisha nyumbani mwake, akisema, "Kama mmeona kweli mimi nimemwamini Bwana Isa, karibuni mkae nyumbani mwangu." Naye akatushawishi.

Veja também