20 Baada ya kuwafikisha mbele ya mahakimu wakawashtaki wakisema, "Hawa watu wanaleta ghasia katika mji wetu, nao ni Wayahudi. 21 Wanafundisha desturi ambazo sisi raia wa Rumi hatuwezi kuzikubali au kuzitimiza."
Publicidade
Matendo Ya Mitume 16:20,21
ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas
Em outras traduções
- SRUV Swahili Revised Union Version
20 Mdo 17:6;1 Fal 18:17wakawapeleka kwa mahakimu, wakasema, Watu hawa wanachafua sana mji wetu, nao ni Wayahudi; 21 tena wanatangaza habari ya desturi zisizokuwa halali kwetu kuzipokea wala kuzifuata, kwa kuwa sisi tu Warumi.
- ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli
20 Baada ya kuwafikisha mbele ya mahakimu wakawashtaki wakisema, "Hawa watu wanaleta ghasia katika mji wetu, nao ni Wayahudi. 21 Wanafundisha desturi ambazo sisi raiya wa Kirumi hatuwezi kuzikubali au kuzitimiza."
Direitos das traduções citadas
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.