Kushuka kwa Roho wa Mungu
1 Siku ya Pentekoste ilipowadia, waumini wote walikuwa mahali pamoja. 4 Wote wakajazwa na Roho Mtakatifu wa Mungu, wakaanza kunena kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia.