46 Siku zote kwa moyo mmoja walikutana ndani ya ukumbi wa Hekalu2:46 Nyumba kuu ya ibada kwa Waisraeli iliyokuwa Yerusalemu., wakimega mkate nyumba kwa nyumba, wakila chakula chao kwa furaha na moyo mweupe, 47 wakimsifu Mungu na kuwapendeza watu wote. Kila siku Bwana akaliongeza kundi la waumini wa Isa wale waliokuwa wakiokolewa.
Publicidade
Matendo Ya Mitume 2
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.