Pular para o conteúdo
Publicidade

Atos 6

Saba wachaguliwa kuhudumu

1 Basi ikawa katika siku hizo, wakati idadi ya wanafunzi ilipokuwa ikiongezeka sana, Wayahudi wa Kiyunani6:1 Wayahudi waliofuata lugha na desturi za Kiyunani walinung’unika dhidi ya Waebrania6:1 Wayahudi walioshikilia lugha na desturi zao za Kiebrania kwa sababu wajane wao walisahaulika katika mgawo wa chakula wa kila siku.

6 Wakawaleta watu hawa mbele ya mitume, nao wakawaombea na kuwawekea mikono.

Veja também