1 Naye Sauli alikua pale, akiridhia kuuawa kwa Stefano.
Waumini wateswa na kutawanyika
Siku ile kukatukia mateso makuu dhidi ya waumini wa Isa huko Yerusalemu, nao waumini wote isipokuwa mitume wakatawanyika, wakakimbilia Yudea na Samaria.