Pular para o conteúdo
Publicidade

Atos 8

32 Huyu towashi alikuwa anasoma fungu hili la Maandiko:

"Aliongozwa kama kondoo aendaye machinjoni,

kama mwana-kondoo anyamazavyo

mbele yake yule amkataye manyoya,

hivyo hakufungua kinywa chake.

33 Katika kufedheheshwa kwake alinyimwa haki yake.

Nani awezaye kueleza kuhusu kizazi chake?

Kwa maana maisha yake yaliondolewa

kutoka duniani."

34 Yule towashi akamuuliza Filipo, "Tafadhali niambie, nabii huyu anena habari zake mwenyewe au habari za mtu mwingine?" 35 Ndipo Filipo akaanza kutumia fungu lile la Maandiko, akamweleza Injili ya Isa.

Veja também