Pular para o conteúdo
Publicidade

Matendo Ya Mitume 8

36 Walipokuwa wakiendelea na safari wakafika mahali palipokuwa na maji, yule towashi akamuuliza Filipo, "Tazama, hapa kuna maji. Kitu gani kitanizuia nisibatizwe?"

[ 37 8:37 Maandiko mengine ya kale hayana aya hii.Filipo akamwambia, "Ukiamini kwa moyo wako wote, unaweza kubatizwa."

Akajibu, "Naamini kuwa Isa Al-Masihi ni Mwana wa Mungu."] 38 Naye akaamuru lile gari lisimamishwe. Filipo na yule towashi wakateremka kwenye maji pamoja, naye Filipo akambatiza.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também