Publicidade

Atos 8

36 Walipokuwa wakiendelea na safari wakafika mahali palipokuwa na maji, yule towashi akamuuliza Filipo, "Tazama, hapa kuna maji. Kitu gani kitanizuia nisibatizwe?"

[ 37 8:37 Maandiko mengine ya kale hayana aya hii.Filipo akamwambia, "Ukiamini kwa moyo wako wote, unaweza kubatizwa."

Akajibu, "Naamini kuwa Isa Al-Masihi ni Mwana wa Mungu."] 38 Naye akaamuru lile gari lisimamishwe. Filipo na yule towashi wakateremka kwenye maji pamoja, naye Filipo akambatiza. 39 Nao walipotoka kwenye maji, ghafula Roho wa Bwana Mungu Mwenyezi akamnyakua Filipo, naye towashi hakumwona tena, lakini akaenda zake akifurahi.

Veja também

Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-07-05_19-25-13-