3 Basi akiwa katika safari yake, alipokaribia Dameski, ghafula nuru kutoka mbinguni ikamwangaza pande zote. 4 Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, "Sauli, Sauli, mbona unanitesa?"
Publicidade