5 Sauli akajibu, "U nani wewe, Bwana?"
Ile sauti ikajibu, "Mimi ni Isa unayemtesa. 6 Sasa inuka uingie mjini, nawe utaambiwa unachopaswa kufanya."