Pular para o conteúdo
Publicidade

Resultados da busca por "esperança"

7 resultados encontrados

  1. 1 Coríntios 13

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 13
    Mostrando versículos 7–13 de 13

    7Upendo huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahimili yote.

    8Upendo haushindwi kamwe. Lakini ukiwepo unabii, utakoma; zikiwepo lugha, zitakoma; yakiwepo maarifa, yatapita.

    13Basi sasa, yanadumu mambo haya matatu: Imani, tumaini na upendo. Lakini lililo kuu miongoni mwa haya matatu ni upendo.

  2. Provérbios 13

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 13
    Mostrando versículos 2–14 de 25

    2Kutoka tunda la midomo yake, mtu hufurahia mambo mema,bali wasio waaminifu wanatamani sana jeuri.

    12Kilichotarajiwa kikikawia kuja moyo huugua,bali tumaini lililotimizwa ni mti wa uzima.

    14Mafundisho ya mwenye busara ni chemchemi ya uzima,ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti.

  3. Romanos 5

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 5
    Mostrando versículos 2–5 de 21

    2ambaye kupitia kwake tumepata kuifikia neema hii kupitia kwa imani, neema ambayo tunasimama ndani yake sasa. Nasi twafurahia katika tumaini letu la kushiriki utukufu wa Mungu.

    4nayo saburi huleta uthabiti wa moyo, na uthabiti wa moyo huleta tumaini,

    5wala tumaini halitukatishi tamaa, kwa sababu Mungu amekwisha kumimina pendo lake mioyoni mwetu kupitia kwa Roho wa Mungu ambaye ametupatia.

  4. Lamentações 3

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículos 21–29 de 66

    21Hata hivyo najikumbusha neno hilina kwa hiyo ninalo tumaini.

    26ni vyema kungojea kwa utulivukwa ajili ya wokovu wa Mwenyezi Mungu.

    29Hata azike uso wake mavumbinibado tumaini litakuwepo.

  5. Romanos 12

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 12
    Mostrando versículos 9–18 de 21

    9Upendo lazima usiwe na unafiki. Chukieni lililo ovu, shikamaneni na lililo jema.

    12Kuweni na furaha katika tumaini, katika dhiki kuweni na saburi, dumuni katika maombi.

    18Ikiwezekana, kwa upande wenu kaeni kwa amani na watu wote.

  6. Hebreus 6

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 6
    Mostrando versículos 11–19 de 20

    11Nasi twataka kila mmoja wenu aoneshe bidii hiyo hiyo ili mpate kujua uhakika kamili wa lile tumaini hadi mwisho,

    15Ibrahimu naye, baada ya kungoja kwa saburi, alipokea kile kilichoahidiwa.

    19Tunalo tumaini hili kama nanga ya roho iliyo imara na thabiti. Tumaini hili huingia katika mahali patakatifu nyuma ya pazia,

  7. Romanos 8

    Toleo Wazi Neno: Maandiko Matakatifu
    Capítulo 8
    Mostrando versículos 20–25 de 39

    20Kwa kuwa viumbe vyote viliwekwa chini ya ubatili, si kwa chaguo lao, bali kwa mapenzi yake yeye aliyevitiisha katika tumaini,

    24Kwa kuwa tuliokolewa kwa tumaini hili. Lakini kama kinachotumainiwa kikionekana, basi hakiwi tumaini tena. Je, kuna mtu anayetumaini kupata kitu alicho nacho tayari?

    25Lakini tunapotumaini kupata kitu ambacho hatuna, basi twakingojea kwa saburi.

Léxico (correspondência exata) Semântico (correspondência relacionada) Versículos omitidos Contexto do capítulo