Pular para o conteúdo
Publicidade

Wakolosai 4:10,11,14

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

10 Aristarko aliye mfungwa pamoja nami anawasalimu, vivyo hivyo Marko, binamu yake Barnaba. (Mmeshapata maagizo yanayomhusu; akija kwenu, mpokeeni.) 11 Isa aitwaye Yusto pia anawasalimu. Hawa peke yao ndio Wayahudi miongoni mwa watendakazi wenzangu kwa ajili ya ufalme wa Mungu, nao wamekuwa faraja kwangu.

14 Rafiki yetu mpendwa, Luka yule tabibu, pamoja na Dema, wanawasalimu.

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    10 Mdo 12:12,25;13:13;15:37-39;18:27;19:29;27:2;Flm 1:24Aristarko, aliyefungwa pamoja nami, awasalimu; pamoja na Marko, binamu yake Barnaba, ambaye mmepokea maagizo juu yake; akifika kwenu mkaribisheni. 11 Na Yesu4:11 Katika makala zingine ni Yoshua. aitwaye Yusto awasalimu. Hao tu ndio watu wa tohara miongoni mwa wale watendao kazi pamoja nami kwa ajili ya ufalme wa Mungu; nao wamekuwa msaada kwangu. 14 2 Tim 4:10,11;Flm 1:24Luka, yule tabibu mpendwa, na Dema, wanawasalimu.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    10 Aristarko aliye mfungwa pamoja nami anawasalimu, vivyo hivyo Marko, binamu yake Barnaba. (Mmeshapata maagizo yanayomhusu; akija kwenu, mpokeeni.) 11 Yesu, yeye aitwaye Yusto, pia anawasalimu. Hawa peke yao ndio Wayahudi miongoni mwa watendakazi wenzangu kwa ajili ya Ufalme wa Mungu, nao wamekuwa faraja kwangu. 14 Rafiki yetu mpenzi Luka yule tabibu, pamoja na Dema, wanawasalimu.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Colossenses
Ver todos os capítulos de Colossenses