Pular para o conteúdo
Publicidade

Cânticos 1

15 Tazama jinsi ulivyo mzuri, mpendwa wangu!

Tazama jinsi ulivyo mzuri!

Macho yako ni kama ya hua.

Mpendwa

16 Tazama jinsi ulivyo mzuri, mpenzi wangu!

Ee, tazama jinsi unavyopendeza!

Na kitanda chetu ni cha majani mazuri.

Mpenzi

Veja também