7 Wewe ni mzuri kote, mpendwa wangu,
hakuna hitilafu ndani yako.
12 Wewe ni bustani iliyofungwa, dada yangu,
bibi arusi wangu;
wewe ni chanzo cha maji kilichozungushiwa kabisa,
chemchemi yangu peke yangu.
7 Wewe ni mzuri kote, mpendwa wangu,
hakuna hitilafu ndani yako.
12 Wewe ni bustani iliyofungwa, dada yangu,
bibi arusi wangu;
wewe ni chanzo cha maji kilichozungushiwa kabisa,
chemchemi yangu peke yangu.
7 Efe 5:27Mpenzi wangu, u mzuri kwa ujumla,
Wala ndani yako hamna kasoro.
12 Isa 58:11;Hos 3:3Bustani iliyofungwa ni dada yangu, bibi arusi,
Kijito kilichofungwa, chemchemi iliyotiwa mhuri.
7 Wewe ni mzuri kote, mpenzi wangu,
hakuna hitilafu ndani yako.
12 Wewe ni bustani iliyofungwa, dada yangu,
bibi arusi wangu;
wewe ni chanzo cha maji kilichozungushiwa kabisa,
chemchemi yangu peke yangu.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.