Pular para o conteúdo
Publicidade

Wimbo Ulio Bora 8

6 Nitie kama muhuri moyoni mwako,

kama muhuri kwenye mkono wako;

kwa maana upendo una nguvu kama mauti,

wivu wake ni mkatili kama Kuzimu8:6 Kuzimu kwa Kiebrania ni Sheol, yaani Shimo lisilo na mwisho..

Unachoma kama mwali wa moto,

kama mwali mkubwa wa moto wa Mwenyezi Mungu hasa.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também