12 "Tafadhali wajaribu watumishi wako kwa siku kumi. Usitupe chochote ila nafaka na mboga za majani1:12 yaani zeroimu kwa Kiebrania; ina maana ya aina za ngano na shayiri, na jamii ya kunde kama maharagwe, dengu, choroko, na zingine tule, na maji ya kunywa.