6 Baadhi ya hawa vijana walitoka Yuda: Danieli, Hanania, Mishaeli na Azaria. 7 Mkuu wa maafisa akawapa majina mapya: Danieli akamwita jina Belteshaza, Hanania akamwita jina Shadraki, Mishaeli akamwita jina Meshaki, na Azaria akamwita jina Abednego.