Pular para o conteúdo
Publicidade

Daniel 10

2 Wakati huo, mimi Danieli nikaomboleza kwa majuma matatu. 3 Sikula chakula kizuri; nyama wala divai havikugusa midomo yangu; nami sikujipaka mafuta kamwe hadi majuma matatu yalipotimia.

Veja também