Pular para o conteúdo
Publicidade

Danieli 12:11,12

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

11 "Tangu wakati ule wa kukomeshwa kwa dhabihu ya kila siku, na kuanzishwa kwa chukizo la uharibifu, kutakuwepo siku elfu moja na mia mbili na tisini (1,290). 12 Kubarikiwa ni yule atakayevumilia hadi kufikia mwisho wa hizo siku elfu moja mia tatu na thelathini na tano (1,335).

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    11 Dan 9:27;11:31;Mt 24:15;Mk 13:14Na tangu wakati ule ambapo sadaka ya kuteketezwa ya daima itaondolewa, na hilo chukizo la uharibifu litakaposimamishwa, itapata siku elfu na mia mbili na tisini. 12 Heri angojaye, na kuzifikia siku hizo elfu na mia tatu na thelathini na tano.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    11 "Tangu wakati ule wa kukomeshwa dhabihu ya kila siku na kusimamishwa kwa chukizo la uharibifu, kutakuwako siku 1,290. 12 Amebarikiwa mtu yule atakayevumilia hadi kufikia mwisho wa hizo siku 1,335.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.