2 Ni furaha yangu kuwaambia kuhusu ishara za miujiza na maajabu ambayo Mungu Aliye Juu Sana amenifanyia.
3 Ishara zake ni kuu kama nini!
Na maajabu yake yana nguvu kama nini!
Ufalme wake ni ufalme wa milele;
enzi yake hudumu kizazi hadi kizazi.