Pular para o conteúdo
Publicidade

Kumbukumbu La Torati 14:2

ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

2 kwa kuwa ninyi ni taifa takatifu kwa Mwenyezi Mungu, Mungu wenu. Mwenyezi Mungu amewachagua ninyi kuwa taifa lake la pekee kutoka mataifa yote duniani.

Em outras traduções

  1. SRUV Swahili Revised Union Version

    2 Kut 19:5-6;Kum 4:20;7:6;26:18;Tit 2:14;1 Pet 2:9;Law 11:45;19:2;Isa 62:12;Dan 8:24;Rum 12:1Kwa kuwa u taifa takatifu kwa BWANA, Mungu wako, na BWANA amekuchagua kuwa watu wake hasa, kuliko mataifa yote yaliyo juu ya uso wa nchi.

  2. ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

    2 kwa maana ninyi ni taifa takatifu kwa Bwana Mungu wenu. Bwana amewachagua ninyi kuwa taifa la kipekee kutoka mataifa yote juu ya uso wa dunia, mwe tunu yake.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.