Pular para o conteúdo
Publicidade

Esdras 3

11 Waliimba nyimbo za sifa na za shukrani kwa Mwenyezi Mungu hivi:

"Yeye ni mwema;

upendo wake kwa Israeli

wadumu milele."

Watu wote wakapaza sauti kubwa za sifa kwa Mwenyezi Mungu, kwa sababu msingi wa nyumba ya Mwenyezi Mungu ulikuwa umewekwa.

Veja também