Pular para o conteúdo
Publicidade

Waefeso 5

19 Msemezane ninyi kwa ninyi kwa zaburi, nyimbo na tenzi za rohoni, mkimwimbia na kumsifu Bwana Isa mioyoni mwenu, 20 siku zote mkimshukuru Mungu Baba5:20 Kwa mwanadamu, Mwenyezi Mungu ni Baba kupitia uhusiano unaopatikana katika kumtumaini Isa Al-Masihi. Mwenyezi kwa kila jambo katika Jina la Bwana wetu Isa Al-Masihi.

21 Nyenyekeaneni ninyi kwa ninyi kutokana na kumcha Al-Masihi.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também