Pular para o conteúdo
Publicidade

Efésios 6

Mafundisho kuhusu watoto na wazazi

1 Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika Bwana Isa, kwa kuwa hili ni jema. 2 "Waheshimu baba yako na mama yako," hii ndio amri ya kwanza yenye ahadi, 3 "upate baraka na uishi siku nyingi duniani."

4 Ninyi akina baba, msiwachokoze watoto wenu, bali waleeni kwa nidhamu na mafundisho ya Bwana Isa.

Veja também