Pular para o conteúdo
Publicidade

Kutoka 1

13 kwa hiyo wakawatumikisha kwa ukatili. 14 Wakafanya maisha ya Waisraeli kuwa machungu kwa kufanya kazi ngumu ya kutengeneza lami na kufyatua matofali, na kazi zote za mashambani; katika kazi zao zote ngumu, Wamisri waliwatumia Waisraeli kwa ukatili.

Veja também